Hayaa - Phina
Composed by:Sarah Michael Kitinga
Uuuhh
The melanin queen
Yeah oh
Si tulipanda miti
Kivuli tayari sah tuketi
Jua lisituchome
Siwezi kusaliti
Kukuacha uende mbali
Sitetereki
Shetani anikome
Nakupenda wewe tu mahabuba mahabuba
Tugandane gandane kama ruba kama ruba
Oh lala
Tulilinde zaidi letu huba letu huba
Twafurahi japo hatuna fuba hatuna fuba
Oh haya haya hayaaaa haya haya
Haya weh hayaaa
Haya haya haya haya
Hayaaa
Nishike kidogo
Haya haya
Aaah kidogo
Hayaa
Haya haya
Haya haya
Hayaaaa
Hayaaaa
Huba lake ni tamu
Walah sijawahi ona before
Ai before kama yeye
Nikishikwa na hamuu
Sipati shida ya kumwita njoo
Simwiti ng'oo aja mwenyewe
Nampa uroda
Mpaka maji anaita m'ma m'ma
Tam tam kama soda
Kimeumana chuma kwa chuma chuma
Akianza kwa shoulder
Anafuata mbele na nyuma nyuma
Ah hajaniroga
Kamali ameshani puna
Nakupenda wewe tu mahabuba mahabuba
Tugandane gandane kama ruba kama ruba
Oh lala
Tulilinde zaidi letu huba letu huba
Twafurahi japo hatuna fuba hatuna fuba
Oh haya haya hayaaaa haya haya
Haya weh hayaaa
Haya haya haya haya
Hayaaa
Nishike kidogo
Haya haya
Aaah kidogo
Hayaa
Haya haya
Haya haya
Hayaaaa
Hayaaaa
Heh
Tadi mam meh
